Ukurasa huu ni wa Biashara Zangu (Ommy Tech), mfumo na app ya Android ya kusimamia mauzo, stoo na madeni.

Njia ya 1: Futa mwenyewe (dakika moja)

  1. Ingia kwenye app ya Biashara Zangu au biasharazangu.com.
  2. Bonyeza Zaidi (chini kulia), kisha Futa akaunti yangu. Wamiliki wanaweza pia kupitia Mipangilio → Usalama.
  3. Andika FUTA kuthibitisha, kisha bonyeza Futa akaunti kabisa.

Njia ya 2: Tuombe tukufutie

Kama huwezi kuingia, tuma email kwa info@biasharazangu.com ukiandika "Futa akaunti yangu" na namba ya simu ya akaunti. Tutathibitisha kwamba akaunti ni yako kabla ya kuifuta, na tutaifuta ndani ya siku 7.

Kinachofutwa

Kinachobaki

Kufuta akaunti hakuwezi kurudishwa. Soma zaidi kwenye Sera ya Faragha.

This page is for Biashara Zangu (Ommy Tech), a system and Android app for managing sales, stock and debts.

Option 1: Delete it yourself (one minute)

  1. Sign in to the Biashara Zangu app or biasharazangu.com.
  2. Tap More (bottom right), then Delete my account. Owners can also use Settings → Security.
  3. Type FUTA to confirm, then tap Delete account permanently.

Option 2: Ask us to delete it

If you can't sign in, email info@biasharazangu.com with "Delete my account" and the account's phone number. We will confirm the account is yours before deleting it, within 7 days.

What is deleted

What is kept

Deleting an account cannot be undone. More in our Privacy Policy.